Home Burudani NYAMWELA AACHIA KITU KIPYA

NYAMWELA AACHIA KITU KIPYA

678
0
SHARE

NA TUNU NASSOR

MNENGUAJI mkongwe na mwimbaji wa muziki wa dansi nchini, Hassan Mussa maarufu kama Super Nyamwela, anatarajia kuachia wimbo mpya alioupa jina la ‘Kochokocho’.

Super Nyamwela ameliambia Dimba Jumatano kuwa wimbo huo ni ujio wake mpya ambapo utaachiwa rasmi kesho na kuanza kurushwa na vituo mbalimbali vya redio.

“Wimbo huu uko katika mahadhi ya Bongo Fleva mchanganyiko na dansi, hivyo naamini utakuwa burudani pande zote mbili,” alisema.

Aliongeza kuwa baada ya wimbo huo anatarajia kuandaa albamu ambayo hata hivyo amesema bado hajaipa jina.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here