AZAM FC KASI ILEILE LIGI KUU

NA WINFRIDA MTOI TIMU ya Azam leo inashuka dimbani kuvaana na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu...

Bocco arejea kikosini

NA MWANDISHI WETU HAMU ya wapenzi wa timu ya Simba ni kumuona uwanjani straika wao, John Bocco, aliyekosekana kwa muda...

DESEMBA MOSI NA SIMBA MPYA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa klabu ya Simba, umeamua kufanya uamuzi mgumu kabla ya kumaliza mwaka huu 2019, kufuatia mabadiliko makubwa...

MO ASHIKILIA TIKETI YA AUSSEMS SIMBA

NA WINFRIDA MTOI SUALA la kufungashiwa virago kwa kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, linazidi kuchukua sura mpya kila...

Yanga kung’oa mkali wa mabao Lipuli FC

NA WINFRIDA MTOI YANGA inatega mitego kila kona kuhakikisha dirisha dogo linapofunguliwa inakuwa rahisi kuimarisha kikosi chao ili kuondoa...

UJENZI UWANJA YANGA WAANZA KIMYAKIMYA

NA TIMA SIKILO KAMA masihara, Yanga nao mdogomdogo wameanza hatua za awali za ujenzi wa uwanja wao uliopo eneo...

Yanga yabeba ukuta kamili

NA MWAMVITA MTANDA  KIKOSI cha Yanga kinatarajia kuingia dimbani Ijumaa hii kuvaana na Alliance FC ya jijini Mwanza katika...

‘Tatoo-1’ Mapenzi yana nguvu

NA ZAINAB IDDY KARIBU msomaji wa safu ya Filamu za Kibongo inayokujia kila siku ya Jumatano kupitia gazeti lako pendwa la...

Straika wa KMC anayevutiwa na wanawake weupe

NA MWAMVITA MTANDA KAMA umefuatilia kikosi cha timu ya Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni (KMC) jina la straika wao wa kimataifa Muivory...

Haya ndio madudu ya VAR ndani ya EPL

LONDON, England MIKE Riley, pengine watakaomkumbuka  mwamuzi huyo ni wale waliofuatilia Ligi Kuu England kuanzia miaka ya 2000 hadi...