Gabo amtangazia fursa Hamisa Mobetto

NA JESSCA NANGAWE MSANII wa Bongomovie Gabo Zigamba amekiri kuwa mwanadada Hamisa Mobetto ana kipaji hivyo...

Zuchu atamani kuisimamia ndoto yake

NA JESSCA NANGAWE BAADA ya kutambulishwa kwenye lebo ya Wcb mwanadada Zuchu amekiri kuwa sehemu ya ndoto yake imetimia...

Isha Mashauzi hana mpango na ndoa

NA JESSCA NANGAWE MALKIA wa taarab nchini Isha Mashauzi amefunguka kuwa kati ya vitu asivyofikiria kwa sasa ni...

Kisa Diamond, Wema Sepetu acharuka

NA JESSCA NANGAWE STAA kutoka kiwanda cha Bongomovie Wema Sepetu amefunguka kuwa hataki atambulike kama mwanamke wa zamani...

Kipa KMC aitafutia majembe timu yake

NA TIMA SIKILO KIPA wa timu ya KMC, Jonathan Nahimana,amesema kwa sasa yupo nchini Burundi kwa mapumziko lakini...

Jaffari Kibaya kajichimbia milima ya Uluguru

NA TIMA SIKILO STRAIKA wa kikosi cha Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar, Jaffari Kibaya, amesema kwa sasa...

Kagere yamkuta mengine Rwanda

NA WINFRIDA MTOI SERIKALI ya Rwanda, imeongeza muda kwa wananchi wake kukaa ndani ya nyumba pasipo kutoka nje na mipaka...

HUKU DEO KANDA KULE MORRISON

NA WINFRIDA MTOI MSIMU ujao, Yanga inataka kurejesha ile timu yenye kasi kutokea pembeni baada ya kusaka kifaa kingine kitakachotengeneza...

Sababu zinazomrejesha Okwi Msimbazi

NA WINFRIDA MTOI KUMEKUWA na tetesi kuwa straika wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, anataka kurejea katika kikosi hicho msimu...

CHAMA ATIBUA DILI LA MKUDE, NDEMLA YANGA

NA MWANDISHI WETU WACHEZAJI wawili ndani ya kikosi cha mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara Simba ambao wote ni viungo, Jonas...