Kalla: Napisha uchaguzi kwanza

MSANII wa muziki wa hip hop, Kalla Jeremiah, amewaambia mashabiki wake wakae tayari kwa ujio mpya baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Taifa...