Kocha Aston Villa atua Zamalek

KOCHA wa zamani wa Aston Villa na Rangers, Alex McCleish, amejiunga na klabu ya Zamalek ya Misri kuchukua mikoba ya nyota wa zamani wa...

Lampard: Messi, Ronaldo watakuja tu Marekani

FRANK Lampard anaamini Lionel Messi na Cristiano Ronaldo watacheza soka Marekani kabla ya kutundika daluga. Lampard alisema ana imani hiyo kwa kuwa Marekani kuna maisha...

Mourinho: Rooney asiuzwe jamani

MANCHESTER, England JOSE Mourinho amewaambia mabosi wa Manchester United kuwa Wayne Rooney yupo kwenye mipango yake hivyo wafanye juu chini kuhakikisha straika huyo haondoki Old...

Madrid waonywa kuhusu dau la Ronaldo

MADRID, Hispania REAL Madrid wameambiwa kuwa watapata shida sana kumuuza Cristiano Ronaldo mwishoni mwa msimu, baada ya klabu nyingi barani Ulaya kugoma kulipa fedha za...

BARCA WASIKIE TU! Messi apiga mbili Barca ikiua 2-0

LONDON, England SI unafahamu ule msemo wa wahenga unaosema, mcheza kwao hutunzwa! lakini kabla ya kuamini hili, unatakiwa uangalie usicheze dhidi ya Barcelona, maana utachezea...

Kinnah Phiri atoa zawadi kwa Simba, Yanga

NA SAADA SALIM KOCHA mpya wa Mbeya City, Kinnah Phiri, katika hali isiyo ya kawaida ametangaza nia ya kuwapa zawadi ya mshambuliaji mkali raia wa...

Mtanzania matatani Uingereza

NA MSHAMU NGOJWIKE CHAMA cha Soka England (FA) kinachunguza madai yaliyotolewa na mashabiki wa klabu ya Plymouth kwamba mchezaji wa Tanzania, Adi Yussuf, anayekipiga katika...

Wapinzani wa Yanga watishwa

NA MSHAMU NGOJWIKE WAPINZANI wa Yanga katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Klabu ya Cercle de Joachim, wametishwa baada ya wapinzani wao kupata ushindi...

Ngoma avunja rekodi miaka 17

NA ZAINAB IDDY BAO alilofunga straika wa kimataifa wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, dhidi ya Simba limevunja rekodi ya miaka 17 ambapo miamba hiyo ya...

Samatta ampa presha mpinzani wake Genk

NA MSHAMU NGOJWIKE STRAIKA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu Genk FC ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ameanza kumpa presha mpinzani wake Mgiriki, Nikolaos Karelis,...