SHARE

Romelu LukakuSIKU chache zilizopita, baba wa Romelu Lukaku, Roger Lukaku, alipendekeza mwanawe huyo anayekipiga katika klabu ya Everton ahamie katika moja ya vigogo vya soka barani Ulaya.
Klabu ya Manchester United, ambayo inahusishwa kwa kiasi kikubwa na kumtaka mchezaji huyo, itatakiwa kutoa kitita cha pauni milioni 50 tu kama inamhitaji straika huyo mwenye kiwango kizuri msimu huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here