SHARE

MUNICH, Ujerumani

BAYERN Munich wameripotiwa kuwa kwenye harakati za kumchukua kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino, wakiamini ni mrithi sahihi wa mkufunzi wao wa sasa, Niko Kovac.

Kovac amekuwa kwenye wakati mgumu katika kukilinda kibarua chake kutokana na kupanda na kushuka kwa kiwango cha Bayern tangu kuanza kwa msimu huu.

Wakati wengine wakimtaja Pochettino, naye kocha wa Ajax aliyewahi kufanya kazi Bayern, Erik ten Hag, anahusishwa kwenda kumrithi Kovac.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here