Home Dondoo za Ulaya PSG WAMFUATA WENGER LONDON

PSG WAMFUATA WENGER LONDON

394
0
SHARE

UKISEMA cha nini wenzio wanawaza watakipata lini? PSG wameripotiwa kuanza kufanya mazungumzo na Arsene Wenger, kwa ajili ya kuinoa klabu hiyo msimu ujao akichukua nafasi ya kocha wa sasa, Unai Emery.

Mabingwa hao wa Ufaransa wamemwandalia Wenger mkataba wa miaka miwili na mshahara mara mbili ya anaolipwa na klabu yake ya Arsenal.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here