Home Michezo Kimataifa RAFU MBAYA YAMWINGIZA MATATANI DELE ALLI

RAFU MBAYA YAMWINGIZA MATATANI DELE ALLI

502
0
SHARE

LONDON, England

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Tottenham, Dele Alli, anakabiliwa na hatari ya kufungiwa kucheza michezo kadhaa ya Ulaya kutokana na rafu mbaya iliyomsababishia aoneshwe kadi nyekundu mapema wiki hii.

Kadi hiyo nyekundu ni ya kwanza kabisa kwa Alli, 20, tangu alipoanza kucheza soka ambapo rafu aliyomchezea mchezaji wa Gent, Brecht Dejaegere, ndiyo iliyomsababishia majanga hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here