Home Dondoo za Ulaya REAL MADRID AKILI ZOTE KWA ALLI

REAL MADRID AKILI ZOTE KWA ALLI

467
0
SHARE

REAL Madrid wamepania kuitwaa saini ya kiungo wa Tottenham, Dele Alli (20), mara tu watakapomaliza adhabu yao ya kutosajili msimu ujao.

Mabingwa hao wa Ulaya wana uhakika wa kumpata Alli kwa kuwa wamekuwa na uhusiano mzuri wa kibishara na Spurs tangu walipowasajili, Luka Modric na Gareth Bale.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here