Home Dondoo za Ulaya SANCHEZ HUYOOO BAYERN MUNICH

SANCHEZ HUYOOO BAYERN MUNICH

576
0
SHARE

HUENDA mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez, 28, akajiunga na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, mara baada ya dirisha kubwa la usajili kufunguliwa. Kwa miezi ya hivi karibuni, Sanchez hajawa na wakati mzuri ndani ya klabu hiyo ya London.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here