SHARE

NA BEATRICE KAIZA

STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa onyo kali kwa wasichana na wadada mbalimbali wanaomnyatia mumewe kwani amejipanga kupambana nao.

Akizungumza na DIMBA, alisema kuwa wadada wa mjini wamezoea kuchukua waume za watu sasa yeye jambo ambalo hatoliruhusu kwake litokee ndo maana amejipanga kutembeza kichapo kwa atakayethubutu.

ëíNampenda sana mume wangu kuna wanawake wanajifanya kusahau kuwa uchebe ni mume wangu sasa nitapambana nao mimi napiga ebitoke cha mtoto, manyaku nyaku kaeni mbali na mume wangu tutagawana majengo ya serikaliíí alisema Shilole.

Pia aliongezea yupo tayari kupambana kwa njia yoyote ile iwe kwa ndumba, vipigo hata kufikishana Polisi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here