Home Burudani Shilole ampa darasa la ndoa Shamsa

Shilole ampa darasa la ndoa Shamsa

0
SHARE

NA JESSCA NANGAWE

BAADA ya staa wa Bongomovie Shamsa Ford kutangaza kuachana na mumewe Chid, mwanadada Shilole amefunguka na kumtaka kusikiliza moyo wake kwanza.

Akizungumza na DIMBA, Shilole alisema anatambua ndoa ina changamoto nyingi hivyo pamoja na kuwa si jambo zuri kuvunjika hasa kwa rafiki yake wa karibu Shamsa lakini amemtaka asilazimishe kuishi katika hali ya mateso.

Shamsa ni mtu wangu wa karibu sana, siwezi kumuona anapata tabu nikamuacha, kama kweli ameshindwana na mumewe ni vyema akausikiliza moyo wake na kufanya kile anachoona kina umuhimu kwakeîalisema Shilole.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here