Home Dondoo za Ulaya UNITED YAANZA KUSAKA MRITHI WA DE GEA

UNITED YAANZA KUSAKA MRITHI WA DE GEA

273
0
SHARE

MANCHESTER United wanakaribia kumnasa mlinda mlango anayeteka vichwa vya habari nchini Italia, Gianluigi Donnarumma, anayeichezea AC Milan.

Akiwa ndio kwanza amefikisha umri wa miaka 18 hivi karibuni, Donnarumma ni tegemeo langoni mwa Milan na hajakosa mchezo wowote msimu huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here