Home Dondoo za Ulaya WENGER AMFUNGIA KAZI PJANIC

WENGER AMFUNGIA KAZI PJANIC

473
0
SHARE

ARSENAL wanajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 28 kwa ajili ya kiungo wa juventus, Miralem Pjanic, katika dirisha dogo la usajili linalofanyika mwezi huu.

Pjanic (26) anatajwa kuwa mtu sahihi wa kuvaa viatu vya Santi Cazorla anayesumbuliwa na mejaraha ya muda mrefu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here