Home Dondoo za Ulaya WENGER HESABU KALI KWA DANILO

WENGER HESABU KALI KWA DANILO

394
0
SHARE

KOCHA Arsene Wenger, amepania kuimarisha safu yake ya ulinzi kwa kutumia pauni Mil 20 kwa ajili ya kuinasa saini ya beki wa Real Madrid, Danilo.

Dili hili linaweza kukamilika baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya mabingwa, Madrid watakapovaana na Juventus.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here