Home Dondoo za Ulaya WENGER MIAKA MIWILI ZAIDI ARSENAL

WENGER MIAKA MIWILI ZAIDI ARSENAL

557
0
SHARE

GAZETI la Mirror linaamini kuwa, Arsene Wenger atasaini mkataba mpya katika klabu ya Arsenal, baada ya kumalizika kwa fainali ya Kombe la FA.

Mfaransa huyu atapewa mkataba wa miaka miwili pamoja na fungu kubwa la usajili kwa ajili ya kukiimarisha upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here