Home Dondoo za Ulaya Wilson asain mkataba mpya Man United

Wilson asain mkataba mpya Man United

619
0
SHARE

JAMES Wilson amesaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga Manchester United utakaomuweka klabuni hapo mpaka mwaka 2019. “Nimefurahi sana kusaini mkataba mpya hapa, napenda kuendelea kucheza kwa miaka mingi zaidi. United ni klabu kubwa na nina malengo ya kufanya mengi zaidi,” alisema Wilson

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here