Home Burudani Wolper afunguka kuwatoa kimaisha wanaume

Wolper afunguka kuwatoa kimaisha wanaume

0
SHARE

NA JESSCA NANGAWE

STAA wa Bongo movie Jackline Wolper amesema pamoja na kupitia changamoto nyingi kwenye kusaka maisha, ameweza kuwasaidia vijana wengi kutoka kimaisha hasa wanaume.

Akizungumza na DIMBA,Wolper alisema,mpaka kufikia hapo alipo sasa amekutana na changamoto nyingi za maisha lakini anashukuru Mungu kwani ameweza kujikwamua lakini kuwapiga jeki wengine.

ìNimepitia mengi, watu wasione sasa napendeza wakajua ni ujanja ujanja wa mjini, hapana, kwa kweli nimepitia changamoto nyingi za maisha, nashukuru nimeweza kujisaidia lakini pia kuna watu wengi nimewakwamua na bado naendelea kufanya hivyoîalisema Wolper.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here