Home Habari YANGA YAIFANYIA UMAFIA URA

YANGA YAIFANYIA UMAFIA URA

1660
0
SHARE
NA SALMA MPELI

YANGA SC leo inashuka dimbani kucheza mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya URA ya Uganda, lakini siku moja kabla ya mechi, Wanajangwani hao wameamua kufanya umafia mkubwa ili waweze kupata ushindi.

Yanga inatarajiwa kushuka dimbani leo kwenye Uwanja wa Amaan saa 10:30 jioni, katika mechi ya nusu fainali ya kwanza kwenye mashindano hayo dhidi ya Waganda hao.

Iko hivi; uongozi wa Yanga baada ya kuona timu imetinga hatua ya nusu fainali, umeamua kukiongezea nguvu kikosi chake kilichoko Zanzibar kwa kutuma majeshi zaidi yatakayowachunguza URA na kusaidia kuongeza mbinu za ushindi kwa timu hiyo ya Jangwani.

Yanga ambayo haijafungwa mechi hata moja kwenye michuano hiyo, inataka kuendeleza wimbi la ushindi ili kutimiza dhamira yao ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi unaotetewa na Azam FC.

Ili kudhihirisha kwamba timu hiyo imepania, Yanga imemtuma kocha wake, Mzambia George Lwandamina ambaye ………………………………..

KWA HABARI ZAIDI JIPATIE NAKALA YAKO YA DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here