SHARE

WAKONGWE wa Seria A, Italia, Inter na AC Milan, wameingia kwenye vita ya kuiwania saini ya kiungo wa Tottenham, Mousa Dembele (30).

Dembele ni miongoni mwa nyota walio kwenye mstari wa kuondoka Spurs, ili waweze kupata changamoto mpya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here