SHARE

vlahovic-ibrahimovicKLABU za Arsenal, Man City na PSG zipo vitani kuwania saini ya chipukizi wa Partizan Belgrade, Dusan Vlahovic.
Vlahovic (16), anatajwa kama mchezaji atakayetesa hapo baadaye, huku kiwango chake kikifananishwa na cha mshambuliaji hatari wa PSG, Zlatan Ibrahimovic.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here