SHARE

KLABU ya Atletico Madrid, imeonyesha nia ya kuihitaji huduma ya kiungo wa Manchester United, Ander Herrera.

Herrera anamaliza mkataba na United mwishoni mwa msimu huu, hivyo Atletico wanaangalia uwezekano wa kumshawishi kiungo huyo asiongeze mkataba mpya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here