SHARE

NA JESSCA NANGAWE

MWANAMUZIKI Belle 9 amesema licha ya kumzidi umri msanii mwenzake Marioo kwenye kazi, amekiri miaka miwili ijayo anamuona atakua msanii wa levo nyingine.

Akizungumza na DIMBA,Belle 9 alisema tangu aingie kwenye muziki wa Bongofleva hajawahi kuandika mistari mwenyewe lakini wapo wasanii wenzake wanaofanya vizuri katika uandishi wao.

ìKwangu nikisema anaandika mwenyewe nitakua muongo, lakini wapo wasanii wanaofanya vizuri katika uandishi wao, mtu kama Mario namuona atakua kwenye levo nyingine miaka michache ijayo, jamaa anajua nini anafanya, kwangu namuona ni msanii wa pekeeîalisema Belle 9.

Alisema mbali na kipaji cha kuimba cha Marioo amekua mbunifu sana katika kupanua kipaji chake na wapo wasanii wachache wa aina yake ambao wana uwezo wa kutunga mashairi na kuimba kwa wakati mmoja.

muongo, lakini wapo wasanii wanaofanya vizuri katika uandishi wao, mtu kama Mario namuona atakua kwenye levo nyingine miaka michache ijayo, jamaa anajua nini anafanya, kwangu namuona ni msanii wa pekeeîalisema Belle 9.

Alisema mbali na kipaji cha kuimba cha Marioo amekua mbunifu sana katika kupanua kipaji chake na wapo wasanii wachache wa aina yake ambao wana uwezo wa kutunga mashairi na kuimba kwa wakati mmoja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here