SHARE

Mwandishi Wetu

Msanii kutoka nchini Nigeria Davido Adeleke ‘Davido’ amepata mtoto wa kiume aliyezaliwa leo Oktoba 20, nchini Uingereza na mchumba wake wa siku nyingi, Chioma.

Katika ukurasa wake wa Instagram, Davido ameweka picha akiwa amembeba kichanga huyo aliyempa la David Junior huku akimwita Mwana wa Mfalme.

“David Adedeji Ifeanyi Adeleke Jr. Mwana wa Mfalme huyu hapa, 20-10-2019. Nakupenda mke wangu @thechefchi.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here