SHARE

TORONTO, CANADA

MGAHAWA wa staa wa muziki, Drake, umefungwa, ikielezwa kwamba hatua hiyo imetokana na kudai kodi ya Dola za Marekani 50,000 (zaidi ya Sh mil. 110 za Tanzania).

Awali, ilielezwa kwamba chanzo cha kufungwa kwa mgahawa huo uliofunguliwa mwaka juzi ni mafuriko lakini imebainika kuwa si kweli, bali ni deni lililopo.

Kwa upande wao, viongozi wa mgahawa huo uliomgharimu Drake kiasi cha Dola milioni 150, utafunguliwa mwakani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here