SHARE

NA TIMA SIKILO

STRAIKA wa kikosi cha Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar, Jaffari Kibaya, amesema kwa sasa yupo nyumbani kwake milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mapumziko kwake kutokana na kusimama kwa Ligi Kuu Tanzania sababu ya virusi vya Corona.
Alisema,licha ya mapumziko anafuatisha na programu alizopewa na kocha wake kila siku kwa ajili ya mazoezi na kujiweka fiti ili Ligi itakapoendelea wakati wowote mambo yawe mazuri upande wake ukizingatia kipindi cha usajili kipo usoni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here