SHARE
Alexis Sanchez

MIAMBA ya soka ya Italia, Juventus, imegoma kabisa kukata tamaa ya kumnyakua mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Alexis Sanchez, aliyebakisha miezi 18 tu kwenye mkataba wake na ‘Gunners’ hao.

Muda huo uliobakia kwenye mkataba wa Sanchez ndio unaoipa nguvu Juve, licha ya staa huyo kutaka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki, hitaji ambalo halikufikiriwa kama lingeweza kutimizwa na Juve kabla ya wao kusema wataendelea kumfukuzia Mchile huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here