SHARE

LOS ANGELES, Marekani

RAPA Kanye West amesema siku atakayoingia Ikulu, atashusha sherehe ya kufa mtu, akiitaja kwa jina la birthday ya kila mtu.
Hiyo inakuja zikiwa ni siku chache zimepita tangu msanii huyo alipotangaza nia ya kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa Novemba, mwaka huu.

Nyota imeanza kungíaa katika safari yake kwani tayari jina lake limepita katika Jimbo la Oklahoma na sasa amewaomba wakazi South Carolina kumpitisha.

Huku siku ya mwisho ikiwa ni Jumatano ya wiki ijayo, Kanye alituma taarifa inayosomeka: Kama wewe ni mpigaji kura wa South Carolina, tafadhali saini waraka huu kuniweka kwenye kinyangíanyiro

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here