SHARE

ROMA, Italia

BAADA ya kuinunua Roma, kampuni ya Friedkin Group imepanga kuifanya klabu hiyo kuwa moja kati ya zile zinazosumbua katika soka la Ulaya.

Juzi, Friedkin Group walimalizana na aliyekuwa mmiliki wa timu hiyo, James Pallotta, waliponunua asilimia 86.6 ya hisa.

Kampuni hiyo yenye masikani yake Houston, Marekani, imepanga kuanza na taji la Serie A, ambalo mara ya mwisho kubebwa na Roma ilikuwa mwaka 2001.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here