SHARE

LIVERPOOL wameripotiwa kuanza mazungumzo na winga wa Leicester City, Riyad Mahrez (26), kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Philippe Coutinho, anayekaribia kutua Barcelona.

Taarifa zinasema kuwa mazungumzo kati ya Liver na Barca yako sehemu nzuri na dili hilo linaweza kukamilika kwa pauni mil 135.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here