SHARE

CATALUNYA, Hispania

WAKIWA wamefanya naye kazi kwa miaka mingi, Barcelona wataachana na mpiga picha maarufu, Santiago Garces.

Garces alijizolea umaarufu mkubwa kwa picha zake kali wakati Barca wakiiua PSG mabao 6-1 katika moja ya mechi za Ligi ya Mabingwa.

Ushindi huo ulikuwa wa kupindua meza kwani katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Paris, Barca walitandikwa mabao 4-0.

Juu ya Garces, hakuna taarifa yotote ya klabu hiyo iliyoeleza sababu za kuachana naye.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here