SHARE

NA JESSCA NANGAWE

MREMBO Irene Louis maarufu kama ëOfficialyní kutoka kiwanda cha Bongofleva amefunguka na kudai moja ya wasanii walimmshawishi zaidi kuingia kwenye muziki huo ni Harmonize ambaye kila wakati alikua akimpa ushauri.

Mwanadada huyo ambaye kwa sasa anafanya vyema na kibao chake cha ëHolla hollaí amesema pamoja na sanaa hiyo kuihitaji ubunifu mkubwa ili kuwa tofauti na wengine amekiri kuendelea kujifunza vitu vipya kwa waliomtangulia.

ìSanaa ya muziki inahitaji ubunifu mkubwa, kwa kipindi kifupi nilichokaa nimejifunza mengi kutoka kwa walionitangulia lakini kubwa namshukuru sana Harmonize kwa kunitia moyo na kunielekeza pale anapoona nakosea, kwangu nampa heshima ya kipekeeîalisema Irene.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here