INJINIA HERSI AKOLEZA USAJILI MPYA YANGA

  NA MOHAMED KASSARA ‘ITAWACHOMA sana’, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mikakati kabambe ya Yanga kusuka kikosi chao katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa katikati...

SIMBA YAIKOKIA BUNDUKI PRISONS

NA MOHAMED KASSARA INYESHE mvua liwake jua, Simba imeapa kuondoka na pointi tatu muhimu kesho dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons ili kukoleza mbio za...

KAZE AIPANGIA POLISI FOMESHENI HATARI

NA WINFRIDA MTOI LAZIMA wakae. Ni kauli ya Wanayanga wengi baada ya kocha wao, Cedric Kaze, kusema mashabiki wa timu hiyo kesho wataanza kufurahi ubora...

Kaze kutua na mifumo mitatu

NA WINFRIDA MTOI KOCHA mpya wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze, anatarajiwa kutua kesho kuanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kujiandaa na mechi za Ligi Kuu...

SIMBA WAIUNDIA MKAKATI MZITO TANZANIA PRISONS

NA WINFRIDA MTOI SIMBA imeamua kuja na mkakati kabambe wa kuhakikisha wanamaliza jeuri ya Tanzania Prisons ambayo imekuwa ikiwasumbua kwenye kwenye mechi zinazochezwa Nyanda ya...

CHAMA ACHOTA MILIONI 460 YANGA

NA WINFRIDA MTOI KLABU ya Yanga imemtengea kitita cha fedha shilingi milioni 460 kiungo wa Simba, Clatous Chama, endapo atakubali kujiunga na kikosi hicho mwishoni...

Mjue Kobe Bryant (11):Aliitwa NBA All-Rookie akiwa na umri mdogo

Na Badi Mchomolo HUU ni mwendelezo wa simulizi ya nyota wa zamani wa mchezo wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant, aliyefariki dunia Januari 26, mwaka...

JOEL LWAGA Mkali wa Injili anayemzimia Diamond Platinum

NA GLORY MLAY UKIACHILIA mbali ushindani uliopo katika muziki wa bongo fleva, pia katika injili mambo pia ni moto.Sio kazi kazi rahisi kutoka hukupambana kufa...

SVEN AFUATA SUMU YA YANGA ZANZIBAR

NA JESSCA NANGAWE WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga likianza kupamba moto kila kona, kocha mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck,...

Mugalu anacheza na goli la Yanga

NA JESSCA NANGAWE STRAIKA wa Simba, Chris Mugalu, ameanza moto wake baada ya kuongeza kasi ya mazoezi ya ziada ili kujiwinda na michezo ya Ligi...