Solskjaer kuendeleza ubabe kwa Lampard? Man United, Chelsea hapatoshi Wembley leo

LONDON, England MARA baada ya kushuhudia mchezo mkali wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la FA iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kati ya Arsenal...

Kanye akiingia Ikulu, bata kama lote

LOS ANGELES, Marekani RAPA Kanye West amesema siku atakayoingia Ikulu, atashusha sherehe ya kufa mtu, akiitaja kwa jina la birthday ya kila mtu. Hiyo inakuja zikiwa...

Weusi kuachia Air Weusi fasta

NA JESSCA NANGAWE KUNDI la muziki wa Bongofleva la weusi linatarajia kuachia albamu yao mpya inayojulikana kama Air Weusi ambayo itakua na jumla ya nyimbo...

Jide kuachia collabo na mtoto wa Gadner

NA JESSCA NANGAWE MKONGWE wa Bongofleva Judith Wambura maarufu Lady Jay Dee amesema tayari wameanza maandalizi ya kuachia kazi mpya ambayo atashirikiana na mtoto wa...

Harmonize kutambulisha wasanii watatu

NA JESSCA NANGAWE MSANII Rajab maarufu kama Harmonize anatarajia kutambulisha wasanii watatu wapya mapema mwezi ujao kupitia lebo yake mpya ya Konde Music World wide. Ni...

Chama awajibu Yanga

NA JESSCA NANGAWE KIUNGO Mzambia wa Simba SC Clatous Chama amewajibu mashabiki wa Yanga kwa kuonyesha kiwango cha juu katika mchezo wa nusu fainali ya...

GSM na hasira ya kuisuka Yanga

NA JESSCA NANGAWE YANGA hawataki masihara.Uongozi wa klabu hiyo na wadhamini wao kampuni ya GSM wameamua kuweka pembeni maumivu ya kichapo cha mabao 4-1 walichokipata...

Bosi Yanga achukua fomu ubunge Kinondoni

NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Rais wa Klabu ya Yanga, Abbas Tarimba,amejitosa katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya...

Wamasai wavamia beki Azam

NA WINFRIDA MTOI JINA la beki wa kati wa Azam FC, Oscar Masai, limesabasha basi lao kusimamishwa na mashabiki wa timu hiyo kutoka kabila...

Simba kuendeleza vita Mbao FC

NA WINFRIDA MTOI KIKOSI cha Simba kimeanza mazoezi jana kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC, itakayochezwa kesho Uwanja wa...