Brazil yatoa jezi za Olimpiki kwa mkwara

RIO DE JENAIRO, Brazil TIMU ya taifa ya Brazil imetambulisha rasmi namba za jezi watakazovaa kwenye harakati zao za kuiwania medali ya kwanza ya dhahabu...

Zlatan: Kama Cantona alikuwa mfalme mimi nitakuwa Mungu Manchester Utd

MANCHESTER, England KUNA vitu viwili mashabiki wa Manchester United wanavifaidi kwa Zlatan Ibrahimovic msimu huu, mabao na kauli za shombo. Kuhusu mabao, itabidi wasubiri mpaka Agosti,...

Simba, Yanga dimbani Okt 1

NA ZAINAB IDDY, WATANI wa jadi Simba na Yanga wamepangwa kukutana kwa mara ya kwanza Oktoba mosi mwaka huu, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

Arsenal yaachiwa Higuain mezani

TURIN, Italia RAIS wa Napoli, Aurelio De Laurentiis, amekanusha taarifa za kufanya mazungumzo na klabu ya Juventus juu ya straika wake, Gonzalo Higuain. Laurentiis amesema kuwa...

Sababu 5 Yanga kuifunga Medeama

NA EZEKIEL TENDWA, KATIKATI ya wiki ijayo mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara watakuwa nchini Ghana kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani...

Mcameroon mpya Simba akusanya kijiji Morogoro

Na Mwandishi Wetu, WAKATI straika wa Simba Mrundi, Laudit Mavugo, akimwagwa rasmi na Wekundu wa Msimbazi, Simba, mashabiki wa klabu hiyo juzi walijitokeza kwa wingi...

Yanga kupenya kama Ureno CAF

EZEKIEL TENDWA NA SAADA SALIM, UTAKUWA bado unakumbuka jinsi timu ya Taifa ya Ureno ilivyopenya mpaka ikatwaa ubingwa wa michuano ya Euro 2016 mbele ya...

MA-PRO WAPYA Wageni watakaonogesha Ligi Kuu England

MAREGES NYAMAKA NA MITANDAO, USAJILI wa majira ya kiangazi katika timu mbalimbali Barani Ulaya unazidi kunoga. Usajili huo unaonekana kufunika zaidi katika Ligi Kuu ya...

MTAALAMU CONTE Tumbua kwanza haya majipu matano, ule bata darajani

LONDON, England TAYARI Antonio Conte ameshamaliza kazi yake kwenye Euro akiwa na Italia na kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Chelsea. Mtaalamu huyu mwenye miaka 46 anatua...

MADOGO Wa kuwaangalia msimu ujao England

LONDON, England KLABU zinazoshiriki Ligi Kuu ya England zimekuwa bize katika dirisha la usajili wa majira haya ya kiangazi, ambapo tayari wameshakamilisha uhamisho wa mastaa...