A DAY TO REMEMBER

  PARIS, Ufaransa HISTORIA imeandikwa!! Ureno ndio mabingwa wa Euro 2016. Waswahili tunasema ‘mdogo mdogo ndio mwendo’ na Wazungu wana kamsemo kao kanasema ‘slow but sure’. Kauli hizi...

Je, Ronaldo sasa anaweza kusimama na Maradona, Pele?

JE, Cristiano Ronaldo sasa anaweza kusimama pembeni ya Diego Maradona na Pele? Ni swali ambalo limeibuka kwenye vichwa vya wadau wa soka duniani mara...

Venus Williams ashikilia mafanikio ya Serena

LONDON, England MARA tu baada ya Serena Williams kutwaa taji la 22 michuano mikubwa ya tenisi kwa wanawake, mjadala umeibuka kama anaweza kufikisha taji la...

Omog: Kiu ya Simba ni ubingwa tu

NA SAADA SALIM NI jambo zuri kwa Simba kuingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Joseph Omog, raia wa Cameroon ili aifundishe timu hiyo katika...

Sharo Machozi amtungia filamu Sharo Milionea

  NA KYALAA SEHEYE MWIGIZAJI chipukizi wa filamu za vichekesho nchini, Hatibu Mohamed maarufu kama Sharo Machozi, ameamua kuandaa filamu maalumu kumuenzi mchekeshaji mwenzie marehemu Hussein...

Kumbe Hussein Machozi ametapeliwa

NA KYALAA SEHEYE MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Hussein Machozi, amesema anachukizwa na nyimbo zake zote alizowahi kutamba nazo kutokana na kutapeliwa na watu...

‘Acha Nibangaize’ wamkuna Diamond Platinum 

NA KYALAA SEHEYE MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasseb Abdul 'Diamond Platinum', ameusifia wimbo wa ‘Acha Nibangaize' wa bendi ya Qs International kuwa...

Waarabu kuwaamua Yanga v Medeama

NA SAADA SALIM WAAMUZI wa Misri watachezesha mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, Yanga na...

Mahadhi afunika mazoezini Yanga

SAADA SALIM NA EZEKIEL TENDWA AMEPONA kabisa. Winga wa Yanga, Juma Mahadhi ambaye alikuwa akisumbuliwa na majeraha ameonyesha uwezo mkubwa katika mazoezi ya timu hiyo...

Rais Nkurunziza amzuia Mavugo kutua Msimbazi

EZEKIEL TENDWA NA SAADA SALIM MASHABIKI wa Simba wanatamani sana kumwona mshambuliaji, Laudit Mavugo baada ya kutajwa sana lakini wakisikia habari hii wataelewa kwanini straika...