Yanga yaidai Simba mabao 14

NA MSHAMU NGOJWIKE KUELEKEA mchezo wa Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Simba itaingia dimbani kumenyana na Yanga ikiwa na deni...

Mayanja aiandalia silaha tatu Yanga

NA SAADA SALIM KOCHA Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja, ametenga silaha tatu muhimu za kuimaliza Yanga kuelekea kwenye mchezo baina ya timu hizo Jumamosi wiki...

Azam FC v Mbeya City kitanuka

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara kinatarajiwa kuendelea kutimua vumbi leo kwa michezo miwili ambayo itazikutanisha Azam FC dhidi ya Mbeya City, huku African...

Mgosi: Mwamuzi katuua

MSHAMBULIAJI mkongwe na Nahodha wa Simba, Mussa Hassan Mgosi, alimemlalamikia mwamuzi wa mchezo wao dhidi ya Yanga, Isra- el Mujuni Nkongo kwamba alikuwa akiwauma...

Mamilioni yayeyuka Simba

WACHEZAJI wa Simba siku ya jana wataikum- buka daima, licha ya kuchapwa mabao 2-0 na Watani wao wa jadi Yanga, lakini pia kipigo hi-...

Tambwe: Nimetimiza nadhiri

STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Amis Tambwe, amesema ametimiza nadhiri yake aliyoitoa hivi karibuni kuwa lazima aifunge Simba japo bao katika mchezo wa...

Dewji atinga na uzi wa ‘Yanga’

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mfa- dhili wa zamani wa timu ya Simba ambaye pia ni mwanachama wa siku nyingi, Azim Dewji, jana alionekana...

Kiiza: Yanga wana bahati

STRAIKA wa kimataifa wa Simba, Hamis Kiiza, amesema Yanga walikua na bahati sana kwa yeye kushindwa kuwafunga kama am- bavyo alikuwa amewapania katika mchezo...

Liver kumtoa Origi Januari

LIVERPOOL wako kwenye mipango ya kumtoa kwa mkopo Divock Origi kwenye majira ya baridi Januari mwakani, Jarida la Daily Star limeripoti. Straika huyu wa...

Man United? Ubingwa lazima msimu huu

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, anaamini kuwa Mashetani Wekundu wa Old Trafford lazima wabebe taji la ligi msimu huu. Ferguson alizungumza...