SHARE

LONDON, England

BADO kocha Mauricio Pochettino hajashawishika kuwa ilikuwa sahihi kwa wapinzani wao, Liverpool, kupewa penalti juzi.

Hadi dakika ya 75, timu hizo zilikuwa sare ya bao 1-1, kabla ya mwamuzi Anthony Taylor kuona beki wa Tottenham, Serge Aurier, alimchezea rafu Sadio Mane, hivyo kuwapa ‘tuta’ Majogoo.

“Sitaki kulalamika, natakiwa kukubaliana na maamuzi ya mwamuzi na VAR (teknolojia ya kumsaidia mwamuzi kwa marudio ya video),” alisema Pochettino.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here