SHARE

NA BEATRICE KAIZA

MWANADADA na msanii wa kike pekee kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Mwanahawa Abdul Queen Darleen amesema kuolewa ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kuna warembo wengi wanatamani ndoa na hawajabahatika kuipata.

Akizungumza na DIMBA, alisema kuwa ajamzalimisha muwe wake kumuoa kwani yalikuwa ni maamuzi yake binafsi.

ëíNamshukuru Mungu kuolewa na mtu ambaye ni chaguo langu kwani kuna warembo wengi ila ameniona mimi ndio mke sahihi hadi kuamua kunioa, sijamlazimisha kunioa ni maamuzi yake sina cha kusema zaidi ya kusema nampenda sana mume wangu, alisema Queen Darleen.

Mrembo huyo aliyasema hayo kwenye siku yako ya Maulid ambayo ilifanyika nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambapo ilidhuriwa na watu mbalimbali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here