SHARE

MANCHESTER City wamepania kumaliza usajili wa straika wa Arsenal, Alexis Sanchez, kwa dau la pauni milioni 35, katika dirisha hili la usajili.

Uamuzi huu wa City umekuja baada ya kuwa na wasiwasi huenda PSG wakamwaga pesa nyingi mwishoni mwa msimu kwa ajili ya Mchile huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here