SHARE

NYOTA wawili wa klabu ya Arsenal, Alexis na Mesut Ozil, wameitaka klabu yao hiyo iwape mikataba yenye mishahara minono kama mastaa wengine wakubwa wa Ligi Kuu England wanaonyakua mishahara ya kueleweka, kama vile mchezaji ghali zaidi duniani anayekipiga katika klabu ya Man United, kiungo Paul Pogba, iwapo timu hiyo itataka kuwaona wakiendelea kukipiga Arsenal msimu ujao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here