SHARE

KoemanKLABU ya Southampton inajiandaa kumpa mkataba mpya kocha wao, Ronald Koeman, ili abaki klabuni hapo msimu ujao.
‘Saints’ wanataka kumbakisha kocha huyo baada ya ripoti mbalimbali kusema kwamba vigogo kadhaa barani Ulaya vinamtolea macho Mdachi huyo, anayefanya vizuri kwa sasa.

SHARE
Previous articleManolas kubaki AS Roma
Next articleWAMEKWISHA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here