SHARE
Wayne Rooney

NAHODHA wa England na Manchester United, Wayne Rooney, amepokea ofa ya mshahara wa pauni 700,000 kwa wiki ikiwa atakubali kuihama United na kwenda China.

Klabu za CSL Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan, ndizo zinatajwa kuwa tayari kuvunja rekodi ya usajili duniani ili kuhakikisha Rooney anatua China na kuitangaza ligi yao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here