SHARE

MKONGWE wa Ivory Coast na kiungo wa Manchester City, Yaya Toure, ameripotiwa kuwa huenda akaenda kumalizia soka lake kwenye Ligi Kuu nchini Marekani, mara baada ya kumaliza mkataba wake na ‘The Cityzens.’

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here